Saturday, August 25, 2012

 Now open after renovation
 ready to serve









 New menu

Wednesday, April 27, 2011

KARIBUNI SANA

KARIBUNI SANA BAGAMOYO MJI WA KIHISORIA , NA KARIBUNI BAHARI VIEW BAGAMOYO KWA CHAKULA NA VINYWAJI

Friday, September 24, 2010

OPEN NOW WITH DELICIOUS NEW MENU

SWAHILI CUISINE: for real taste of swahili Tanzaniaa food ,open for breakfast ,lunch dinner ,take away services available ,just a place to relax with friends and family ..
KARIBU /WELCOME

Thursday, August 5, 2010

BAHARI VIEW BAGAMOYO

BAHARI VIEW BAGAMOYO WILL REMAIN CLOSED DUE TO THE HOLY MONTH OF RAMADAN
THANK YOU AND SORRY FOR ANY INCONVIENCE..

BAHARI VIEW BAGAMOYO PATAKUWA PAMEFUNGWA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
ASANTENI SANA NA POLENI KWA USUMBUFU

Tuesday, May 18, 2010

HAPO TUKISUBIRI WANAFUNZI KUTOKA DAR WAKIJA KWA AJILI YA LUNCH



WANAFUNZI WAKIWA WAMEFIKA NA KUANZA KUPATA MLO WA UHAKIKA



SIMON MARANDU ,ELISHA CHARLES ,JACOB PETER ,JAMES ANICETH WA JITEGEMEE SEC, VI HGE WAKIWA NA RAFIKI ZAO WAKIENJOY.....



SIMON MARANDU ,ELISHA CHARLES ,JACOB PETER ,JAMES ANICETH WA JITEGEMEE SEC VI HGE WAKIWA NA RAFIKI ZAO WAKIENJOY.....





TOURIST FROM GERMAN AND INDIA WAITING THEIR LUNCH BEING PREPARED
WATALII KUTOKA UJERUMANI NA INDIA WAKISUBIRIA LUNCH YAO IKITAYARISHWA

Friday, April 23, 2010

NJE KWA USIKU



PARKING YA GARI YENYE USALAMA



JIKO LA GAS KWA KUKAANGA CHIPSI NA KUKU



JIKO LA KUCHOMEA NYAMA / KUKU


WADAU MBALI MBALI WAKIJIRAMBARAMBA



WATALII NA WAGENI MBALI MBALI WAMEPAPENDA NA KUJIDAI HAPO


KAMA KAWA / HAKIBAKI KITU HAPA



NJE USIKU

USHAWAHI KULA NDIZI ZA KUKAANGA ?? NJO UJARIBU KAMA BADO , TAMUUU MMM YUMMMY



MGAHAWA WA BAHARI VIEW BAGAMOYO NI MPYA UPO BAGAMOYO KARIBU NA POSTA YA ZAMANI AMBAPO IPO KARIBU NA SOKO LA SAMAKI LA BAGAMOYO KARIBU NA BAGAMOYO CINEMA, TUNAUZA CHAKULA KUANZIA KIFUNGUA KINYWA ASUBUHI , LUNCH MCHANA , NA DINNER USIKU , VYAKULA VYETU NIVYA ASILI YA KITANZANIA NA BEI ZETU NI BEI ZA KAWAIDA SIO BEI ZA KITALII , NA PIA TUNAPOKEA ODA KWA WANAFUNZI,FAMILIA AU WAGENI WOWOTE WANAOKUJA KUTEMBELEA MJI WA BAGAMOYO KWA KUWAPIKIA CHAKULA WANACHOTAKA NA KWA WAKATI ... NJOO UJIONEE MWENYEWE

SIMU 0715 33 12 33 AU 0786 44 33 22
EMAIL : bahariviewbagamoyo@gmail.com



Wednesday, April 21, 2010






RESTAURANT MPYA KABISA IPO BAGAMOYO INAUZA VYAKULA VIZURI KWA BEI YA KIZALENDO KARIBU SANA..

MEZA KWA NDANI

KAMA MNAVYOONA MENU NA BEI ZAKE NI ZA KAWAIDA

FENI KUBWA KABISA ZA KUTOSHA NA KUKUPATIA UPEPO MURUA

KABATI LA CHIPSI , KUKU , MISHKAKI , NDIZI KUKAANGA , KUKU KUCHOMA


HUDUMA YA INTERNET , SIMU NA PRINTING PAMOJA NA FAX INAPATIKANA





MAHANJUMATI HAYO

MAZINGIRA SAFI YA JIKONI