SWAHILI CUISINE: for real taste of swahili Tanzaniaa food ,open for breakfast ,lunch dinner ,take away services available ,just a place to relax with friends and family .. KARIBU /WELCOME
MGAHAWA WA BAHARI VIEW BAGAMOYO NI MPYA UPO BAGAMOYO KARIBU NA POSTA YA ZAMANI AMBAPO IPO KARIBU NA SOKO LA SAMAKI LA BAGAMOYO MKABALA NA BAGAMOYO CINEMA, TUNAUZA CHAKULA KUANZIA KIFUNGUA KINYWA ASUBUHI , LUNCH MCHANA , NA DINNER USIKU , VYAKULA VYETU NIVYA ASILI YA KITANZANIA NA BEI ZETU NI BEI ZA KAWAIDA SIO BEI ZA KITALII , NA PIA TUNAPOKEA ODA KWA WANAFUNZI,FAMILIA AU WAGENI MBALIMBALI WANAOKUJA KUTEMBELEA MJI WA KIHISTORIA WA BAGAMOYO KWA KUWAPIKIA CHAKULA WANACHOHITAJI NA KWA WAKATI ... NJOO UJIONEE MWENYEWE